 |
TIG Tags Tags are one word descriptors, used to mark any content on the site for easy searching later. The best tags are ones that describe the content in a single word, and are common enough that people can easily search for specific content relating to that single word. Any item can have more then one tag and are split by commas. |
| Items tagged with: kiswahili |
| Tag was last used: Feb 22, 2008 |
| |
 | Express Yourself |
| |
| TIG Blogs |
|
Sorry nothing tagged here yet!
Sorry nothing tagged here yet!
Sorry nothing tagged here yet!

Posted By: bumbuwazed
Posted On: Dec 28, 2007
|
|
|
TUSEME KISWAHILI is a group-blog right here on TIG for Swahili speakers from all over the world.
http://www.tigblog.org/group/kiswahili
You are invited to come and check out the group blog, and if you like what you see, please join us. If you don't like what you see, please join us and...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 22, 2007
|
|
|
Mwalimu wangu alinipigia simu jana kuniuliza kama nitakuja shuleni leo, nikamwambia ndiyo, akasema tutafanya mtihani. Baadaye alitutumia barua pepe wanafunzi wote, na kusema hakuna mtihani, kuna somo tu. Nilienda shule leo, wengine walibaki nyumbani. Mimi sina shida yoyote, nikiwa pekee huwa...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 22, 2007
|
|
|
Sijui nisemaje kwa kiswahili "What a day!" Lakini mwisho tu ulinifurahisha mpaka niseme hivi, kwa nini? Nimepigia simu Burundi na kuongea karibu masaa mawili. Nataka kwenda Afrika! Najaribu kupata msaada kutoka kwa watu wote kuhusu mambo nitakayoweza kufanya baada ya kumaliza masomo mwezi wa...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 23, 2007
|
|
|
Ijumaa huanza mapema, saa tatu za asuhubi nipo shuleni kusikiliza mwalimu Gascon kuhusu jeografia ya Afrika. Somo hilo ni ngumu sana sana kwa sababu yule mwalimu anafundisha wafaransa, na mimi si mfaransa! Naona anatupa maelezo mengi sana wakati wa saa nzima, na mimi nashindwa kuandika...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 24, 2007
|
|
|
Ndio, leo ni jumamosi, siku ya kupumzika, lakini mimi napumzika kila siku. Sikutoka siku nzima na leo ingekuwa siku nzuri sana kusoma. Kwa sababu nina mambo mengi ya kufanya. Kwa mfano nisome kitabu cha Bwana Kagabo, nitayarishe insha kuhusu Burundi kabla ya Jumanne, nisome kifaransa na...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 25, 2007
|
|
|
Wiki iliyopita watu kanisani waliulizwa kuja saa tatu za asubuhi kabala ya saa tano, kwa sababu saa tano kuna watu wengi sana. Mimi niliamua kwenda saa tatu, kama hivi nitakuwa na siku ndefu zaidi, na watu wengi wengine walikuja pia saa tatu za asubuhi kwa hivyo pasta alifurahi. Nilifikiri kuwa...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 26, 2007
|
|
|
Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizan kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima. Basi Mafarisayo wakamwambia, Wewe unajishuhudia mwenyewe; ushuhuda wako si kweli. Yesu akajibu, akawaambia, Mimi ningawa ninajishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 26, 2007
|
|
|
Asubuhi sikuenda somoni la kifaransa kwa sababu nilikuwa sijamaliza kazi ya nyumbani ya kiswahili, na pia sijasoma kwa ajili ya mtihani. Asubuhi nzimu nilijaribu kufanya kazi kabala ya kutumia mtandao, na nilishinda kufanya kazi yangu, lakini nimetumia muda mrefu sana. Kwenye metro nilianza...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Feb 27, 2007
|
|
|
Sijafanya kitu leo :( Leo asubuhi sikuenda masomoni ya kifaransa, na mwalimu wangu wa kiswahili alitupa kazi ya kufanya insha, na nilishindwa kujitayarisha kabla mwanzo wa somo lake, kwa hivyo sikuenda masomoni ya kiswahili pia. Rafiki mmoja anayeishi Afrika aliniambie leo kwamba labda anaweza...... [view]
|
|
Posted By: monkeytailzz
Posted On: Mar 7, 2007
|
|
|
http://www.youtube.com/profile?user=scorpioattacker... [view]
|
|
1
|
|
|